Sonrisa Médica

Malaika


Imprimir canciónEnviar corrección de la canciónEnviar canción nuevafacebooktwitterwhatsapp

Malaika, nakupenda Malaika.
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada.
Nashindwa na mali sina we,
ningekuoa Malaika.

Pesa zasumbua roho yangu.
Nami nifanyeje, kijana mwenzio.
Nashindwa na mali sina we,
ningekuoa Malaika.

Kidege, hukuwaza kidege.
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada.

Nashindwa na sina, we.

Canciones más vistas de

Sonrisa Médica en Agosto